TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, MEI 2026 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, MEI 2026

Ajali za Barabarani

Jumla ya ajali 28 zimeripotiwa mwezi Mei, 2026. Wilaya ya Kati imeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali sita (6) sawa na asilimia 21.4 ukilinganisha na wilaya nyingine.

         

 

Kielelezo 1.1: Idadi ya Ajali za Barabarani Kwa Wilaya, Mei 2026

 

Idadi ya ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Mei, 2026 zimeongezeka kwa asilimia 21.7 na kufikia ajali 28 kutoka ajali 23 zilizoripotiwa mwezi Aprili 2026

 

Mwezi wa Mei 2026, Wilaya ya Kati imeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali sita (6) ikilinganishwa na wilaya ya Kaskazini ‘A’ na Magharibi ‘B’ zilizoripotiwa kuwa na ajali nne (4) kwa kila wilaya kwa mwezi wa Aprili 2026. 

Published on June 18, 2026