TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, OCTOBER 2026 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, OCTOBER 2026

Jumla ya ajali 21 zimeripotiwa mwezi Oktoba,2026. Wilaya ya Kaskazini ‘B’ imeripotiwa kuwa na ajali zaidi,
ajali tano (5) sawa na asilimia 23.8 ya ajali zote ukilinganisha na wilaya nyingine.

Idadi ya ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Oktoba, 2026 zimepungua kwa asilimia 27.6 na kufikia ajali 21
kutoka ajali 29 zilizoripotiwa mwezi Septemba 2026.
Mwezi wa Oktoba 2026, wilaya ya Kaskazini ‘B’ imeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali tano (5) ikilinganishwa na
mwezi wa Septemba 2026 ambapo wilaya ya Kati na Magharibi ‘B’ zimeripotiwa kuwa na ajali zaidi, ajali sita (6)
kwa kila wilaya

Published on November 13, 2026