TOLEO LA TAKWIMU ZA UDHALILISHAJI MWEZI DISEMBA 2025 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA UDHALILISHAJI MWEZI DISEMBA 2025

Jumla ya matukio 99 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Disemba, 2025 ambapo waathirika walikuwa 99. Waathirika wengi walikuwa watoto (waathirika 79 sawa na asilimia 79.8), wakifuatiwa na wanawake 19 (asilimia 19.2) na mwanamme mmoja (1) sawa na asilimia 1.0 Miongoni mwa waathirika watoto 79, wasichana walikuwa 70 (asilimia 88.6) na wavulana walikuwa 9 (asilimia 11.4).

Published on December 23, 2025