TOLEO LA TAKWIMU ZA UDHALILISHAJI MWEZI, MEI 2026 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA UDHALILISHAJI MWEZI, MEI 2026

Jumla ya matukio 128 ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia yameripotiwa mwezi wa Mei, 2026 ambapo
waathirika walikuwa 128. Waathirika wengi walikuwa watoto (waathirika 109 sawa na asilimia 85.2),
wakifuatiwa na wanawake 17 (asilimia 13.3) na wanaume wawili (2) sawa na asilimia 1.6.
Miongoni mwa waathirika watoto 109, wasichana walikuwa 96 (asilimia 88.1)na wavulana walikuwa 13 sawa
na asilimia 11.9 ya waathirika watoto wote.

Published on June 26, 2026