TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, MACHI 2026 image

TOLEO LA TAKWIMU ZA AJALI BARABARANI MWEZI, MACHI 2026

Idadi ya ajali za barabarani zilizotokea kwa mwezi Machi, 2026 zimepungua kwa asilimia 13.7 na kufikia ajali 31 kutoka ajali 36 zilizoripotiwa mwezi Febuari 2026


Wilaya ya Kati imeripotiwa kuwa na ajali zaidi kwa mwezi wa Machi 2026, ajali tano (5) na mwezi wa Febuari 2026 ajali saba (7)         zilizoripotiwa.

Published on April 22, 2026